Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Wednesday, December 11, 2013

KARIBU KWENYE KILIMO CHA MAHINDI NA KAHAWA MPUNGULUMA, MSHEWE MBEYA VIJIJINI MKOANI MBEYA, NCHINI TANZANIA

 Trekta la kupanda Mahindi na kuweka mbolea, likiendelea na kazi kwenye shamba linalomilikiwa na kampuni ya ORAN AGRICHAIN LTD, eneo la Mpunguluma Estate, lililopo eneo la Mshewe, wilaya ya Mbeya Vijijini.
 Kulia ni Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya ORAN AGRICHAIN LTD, Oran Njeza akiwa na marafiki wake shmabani walipomtembelea kutoka Jijini Dar es Salam.
 Shamba la kahawa, Mpunguluma.
 Karibu shambani.


 Mahojiano yote yanafanyika shambani, siyo ofisini, ni km 16 kutoka Mjini Mbalizi mpaka kufika shambani huko.

 Ninapanda kahawa.
 Oran Njeza, akiangalia nyuki aliowafuga, Mshewe, kwa tahadhali.
 Akipiga picha. Ona mazingira hayo...
Kinyonga hiki, kilinipanda kwenye shati upande wa mkono wangu wa kushoto, kisha nikakitoa na kukipiga picha.....

No comments: