Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Saturday, April 19, 2014

D.B.T YAIPA CHANGAMOTO JAMII JUU YA ELIMU KWA MTOTO WA KIKE

Na Kenneth Ngelesi, Mbeya

JAMII hapa nchini emetakiwa kuzifanyia  kazi changamoto  zote zinawakabili watoto wa kike ambazo zinapelekea wengi  walo kushindwa kuendelea na masomo katika ngazi mbalimbali kama ilivyo kwa watoto wa kiume.

Rai hiyo ilitololewa hivi karibuni na Afisa Masoko wa Bank (D.T.B)  tawi la Mbeya, Oliver Charles katika maafari  ya 11 ya kidato cha sita katika shule ya Sekondari ya Pandahill inayo milikiwa na kanisa Katoriki Porokia ya Songwe jimbo la Mbeya mkoa hapa.

Afisa ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mafari hayo alifikia hatua ya kutoa rai hiyo kutokana na taarifa ya wahitimu hao kumweleza  kuwa walinza wakiwa wanafunzi  182 mwaka 2011 lakini walioweza kufikia hiyo ni wanafunzi 124 kati yao wakimeume ni  77 huku wasichana wakiwa 47 jambo linalotakiwa kufanyiwa kazi.

Alisema kuwa licha ya kuwa katika jamii inayo tuzunguka kuwa na idadi kubwa ya watoto wa kike   lakini katika suala la elimu wanakuwa wacheche hivyo kuitaka jamii kuizifanyi kazi changamoto zinawasabaisha watoto wa kike kushindwa kuendalea na masomo liliwemo tatizo na ujauzito pamoja pamoja na mitazamo hasi dhidi ya watoto wa kike kuhusu sauala la elimu.

Akiwahutubia wanafunzi hao ambao wanatarajia kuanza mitihani taida kidato cha sita mwanzoni mwa Mei mwaka huu,pamoja na wazazi wao Oliver aliongeza kuwa  titizo lingine ambao linachangia vijana wengi wakiwemo   wakuime kuishindwa kufikia malengo ni mapokea mabaya ya utandwaza hivyo kupelekea vijana wengi kuingia katika matatizo na kushindwa kuzingatia masomo  na kujikuta wakiingizaa katika matatizo hata hivyo aliwataka wahitimu hao  kuwa watulivu katika siku hizi za keelekea kufanya mitahani yao.

Mbali na kutoa rai hiyo  Oliver aliendesha harambee ya kuchangisha fedha kwaa jili ya kununua vitabu katika fani mbalimbli ambapo jumla  ya sh  558,800/ ziliapatikana huku bank hiyo ikitoa sh 200,000/ na  kiasi kingine kikitolewa kutoka kwa wazazi mbalimbali walio hudhuri maafari hayo.

Aidha katika hatua nyingeine afisa masoko huyo akijibu changamoto zinaikabili shule hiyo licha ya kuendelea kufanya vizuri katika matokeo mbalimbali ya mitihani ya kimkoa,kikanda kitaifa katika vya pili,nne, na sita alimtaka Mkuu wa shule hiyo Zefania Lusanika  kufika katika ofisi za bank zilizopo eneo la Uhindini jiji Mbeya ili kuweza kuangalia namna na kuweza kuzitatua changamoto zinazo ikabli shule hiyo.

Katika taarifa yake kwa mgen I Mkuu wa shule hiyo Lusanika  alisema kuwa shule hiyo imekuwa ikifanya vizuri katika matokeo ya mitihani ya kitaifa kwani katika matokeo ya kidato pili mwaka ya mwaka 2013 shule hiyo ilisika nafasi ya pili kimkoa huku kikanda ikishika nafasi ya tatu.

Aidha katika taarifa yake hiyo alisema kuwa katika matokeo ya kidato cha nne ya mwaka jana shule hiyo ilishika nafasi ya pili kimkoa na  35 kitaifa hata hivyo Mkuu huyo wa  alisema kuiwa shule  yake ipo katika harakati za kuzifanyia kazi changamoto zilitolewa na wahitimu hao ambazo ni udogo wa wa maktaba, uchache wa vitabu pamoja na gari la shule kwa ajili ya kufanyia ziara za mafunzo ambapo shule hiyo kwa sasa inatumia magari ya kukodi ambayo garama yake ni kubwa.

No comments: