Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Thursday, April 03, 2014

MWAKABWANGA AAPISHWA KUWA KAMANDA WA UVCCM WILAYA YA MBARALI MKOANI MBEYA, ATOA SADAKA YA GARI LA WAGONJWA NA JOKOFU MOJA


 KAMANDA wa UVCCM wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Ibrahimu Ismail(Mwakabwanga), akibebwa na baadhi ya wananchi baada ya kuapishwa na kuwa kamanda na kutoa Gari la wagonjwa na Jokofu wilayani humo.

Hapa ni eneo la kata ya Utengule Usangu, mita mia moja kutoka katika ngome ya mtemi Merere.
 KAMANDA wa UVCCM wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Ibrahimu Ismail(Mwakabwanga), akihutubia wananchi kata ya Utengule Usangu wilayani humo.
 KAMANDA wa UVCCM wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Ibrahimu Ismail(Mwakabwanga)(kulia), baada ya kuapishwa na Naibu katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Mfaume Kizigo.
 Kulia ni Mzee wa mila katika wilaya ya Mbarali, akimsalimu na kumshukuru KAMANDA wa UVCCM wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Ibrahimu Ismail(Mwakabwanga).
 Kushoto ni Chifu, Salehe Merere, akipokea mifuko kumi ya Saruji kwa ajili ya shule ya Msingi, mifuko hiyo ya saruji ilitolewa na KAMANDA wa UVCCM wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Ibrahimu Ismail(Mwakabwanga).
 Gari la wagonjwa lillotolewa na kampuni ya Usangu ambayo inamilkiwa na KAMANDA wa UVCCM wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Ibrahimu Ismail(Mwakabwanga).

 Jokofu

 Viongozi wa wilaya ya CCM Mbarali katika picha ya pamoja baada ya makabidhiano ya gari la wagonjwa na jokofu kutoka kwa kamanda wa UVCCM Wilaya ya Mbarali, Ibrahim ISMAIL, Mwakabwanga jana.

 Mkuu wa wilaya ya Mbarali, Gullam Kiffu, baada ya kukagua gari la wagonjwa....
 Kizigo akimpongeza kamanda Ibrahimu baada ya kuapishwa. Hapa ni bahasha ya kikundi cha wanawake wajasiliamali ambao waliandika barua ya shukrani kwa kamanda huyo baada ya kufanikiwa katika mafunzo ya ujasiliamali ambayo yalifadhiliwa na kamanda huyo kabla ya kuapishwa kwake.

 Mbele ya kamera za mapaparazi....kulia ni Mwandishi wa habari wa magazeti ya CCM, Kongwe la Chama Cha Mapinduzi, UHURU NA MZALENDO, Innocent Ng'oko.
Jamii ya taifa letu, kata ya Utengule usangu, Mbarali Mbeya.

No comments: