Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Saturday, April 19, 2014

UNGANA NA GORDON KALULUNGA,BALOZI WA MPANGO WA Mama ye! KUOKOA MAISHA YA MAMA NA VICHANGA TANZANIA

  1. Ni mama zetu, dada zetu, shangazi, bibi, wifi, wake, marafiki, au sisi wenyewe. 
    Tuna mengi mazuri ya kuwaenzi wanawake walio kwenye familia au maishani mwetu kwa ujumla. Kuwa huru kuacha ujumbe murua, kumuenzi mwanamke yeyote yule hapa kwenye kalulunga2006@gmail.com
  2. Kuna mdau ameulizia kuhusu watoto njiti.... Je wewe umewahi kumuona mtoto njiti? Kumbeba je? Alipata huduma gani? Taarifa zaidi za watoto njiti Tanzania zipo hapa http://ow.ly/uiDzG
  3. M
    Katika changamoto za kuokoa wajawazito na vichanga wa mara mojawapo ni matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa Mpango. Mbali ya matatizo ya upatikanaji na dhana nyingi za kwamba njia hizo zinazulu, lakini pia wanaume huzuia wake zao wasipange uzazi. 
    Matokeo yake ni jambo la kawaida kumkuta mwanamke wa miaka 30 amesha zaa mara 12.....! Au mwenye miaka 20 tayari ana watoto wanne!!

No comments: