Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Wednesday, April 16, 2014

WAJAWAZITO 8,500 WANAKUFA KILA MWAKA TANZANIA. NCHI KUSHEREHEKEA KUTIMIZA MALENGO YA MILENIA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO


 Rais wa Muungano wa vyama vya waandishi wa habari Tanzania(UTPC), Kenny Simbaya, akizungumza jambo ukumbi wa Hotel ya Lion, Sinza Dar es Salaam na waandishi wa habari kutoka mikoa yote ya Tanzania na visiwani.
 Katikati ni Mkurugenzi wa Evidence For Action(E4A), Crag Ferla, akizungumza jambo la Afya ya uzazi ya Mama mzazi na vichanga. 

Kushoto ni mwandishi wa habari wa RADIO5, David Rwenyegila, akisikiliza kwa makini.

2Like · ·
 • 3 people like this.
 • Gordon Kalulunga
 •  
  KUSHOTO NI AFISA HABARI NA MAHUSIANO YA SHIRIKA LA EVIDENCE FOR ACTION(E4A), wa mradi wa mama ye! CHIKU LWENO, AKIMPONGEZA KAKA MKUU WA KALULUNGA MEDIA BLOG (Gordon Kalulunga) Jijijini Dare sa Salam baada ya hata wahariri kueleza ushujaa wa kaka mkuu.

    

  Wana blog Gordon Kalulunga na Mariam Mkumbaru wametajwa kuwa vinara mahiri wa masuala ya uzazi salama na wengi wamefuatilia habari zao hasa kwenye blogs zao. 

  Gordon na Mariam wali pata mafunzo ya Mama Ye, mwanzoni mwa mwaka jana kwa ushirikiano na Tanzania Media Fund. Hongera sana!
Baadhi ya mambo ambayo yanachangia vifo vya Mama na mtoto.

*Wengi hutokwa na damu nyingi
*Kifafa cha Mimba
*Utoaji wa Mimba na mimba zinazoharibika bila kupata msaada wa ktaalam
*Maralia, VVU na uzazi usiyo salama

No comments: