Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Friday, October 10, 2014

KARIBU MAISHA PLUS BEAUTY AND HAIR SALOON MBALIZI

 Ni saloon ya kisasa kwa mji wa Mbalizi, wilaya ya Mbeya Vijijini mkoani Mbeya.

 Huduma ya kusafisha miguu inatolewa kwa wanawake na wanaume, pia kuna dawa maalum ya kuondoa tatizo la Fangasi kwa bei poa kabisa.
 Mkurugenzi wa Maisha Plus Beauty and Hair Saloon, kijana Jackson.

 Huduma zinazotolewa ni pamoja na kupamba maharusi, Send off, Manaine-kuosha na kusafisha kucha za mikono.
Pedcure-kuosha na kusafisha kucha za miguu na kucha.
Kukodisha mavazi ya harusi, hasa za kike.
Scrub.
Steaming, Facial Scrub, Foot Massage nk.

Nyote mnakaribishwa, mnaweza kupiga simu 0766 461503


No comments: