Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Monday, October 06, 2014

MAGHABE HIGH SCHOOL; NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA KWANZA NA KIDATO CHA TANO 2015
MKUU WA SHULE YA MAGHABE HIGH SCHOOL, ANAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KATIKA SHULE HII.

Shule ipo mkoani Mbeya, katika mji mdogo wa Mbalizi eneo la Utengule, Kilometa 17 kutoka Mbeya Mjini, barabara kuu iendayo Mkwajuni-Chunya.

SHULE NI YA BWENI TU. WAVULANA NA WASICHANA. MAADILI NI YA DINI YA KIKRISTO.

Masomo ya kidato cha tano yataanza Julai 2015, usaili wa kidato cha kwanza utakuwa tarehe 18/10/2014 saa mbili asubuhi, shuleni Maghabe.

Taalum ya Shule.
Taaluma ya shule hii iko juu na walimu ni wenye sifa na uzoefu katika taaluma zao.

Huduma za umeme na maji zipo na ni za uhakika. Chakula chenye ubora kinatolewa na matunda ya kutosha kwa wanafunzi.

Shule ina mazingira salama kwa kujisomea na viwanja vya michezo vipo na  Gari la wagonjwa pia.

Wanafunzi wanapata fursa ya kujisomea katika maktaba iliyosheheni vitabu vya kutosha.

MICHEPUO.
Shule hii ya Maghabe, inatoa michepuo ifuatayo.

1.    Masomo ya sayansi na sanaa, pia somo la Compyuta pia linafundishwa.

MAWASILIANO;
SIMU; +255 763 735 360/ 754 893 508
             +255 789 685 398/655 893 508
                              +255 788 245 325
BARUA PEPE; maghabea@yahoo.com
MOTO WA SHULE NI ;
Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa.

No comments: