Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Sunday, December 21, 2014

BREAKIN NEWS...... AJALI MBAYA TUNDUMA MBEYA

TAARIFA za awali zilizotufikia zinasema kuwa, watu sita wanahofiwa kufariki papo hapo baada ya gari aina ya Coaster, walilokuwa wakisafiria kupinduka eneo la sogea Tunduma wilaya ya Momba mkoani Mbeya, leo mchana.

No comments: