Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Wednesday, December 31, 2014

MAUAJI DAR. MTUHUMIWA DAWA ZA KULEVYA APIGWA RISASI

MTUHUMIWA mmoja wa dawa za kulevya, ameuawa leo kwa kupigwa risasi nje ya mahakama ya Kisutu Jijini Dar es Salaam, baada ya kujaribu kuwatoroka askari.

Mashuhuda wa tukio hilo, wamesema kuwa, mtuhumiwa huyo, aliwatoroka askari na kuanza kukimbia ambapo akiwa anajaribu kuruka ukuta, alinasa kwenye vyuma vya wigo kisha akapigwa risasi na kufariki papo hapo.

Mamlaka za kipolisi zimethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba marehemu huyo siyo Mtanzania.

No comments: