Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Friday, January 09, 2015

3/4 WATOTO CHINI YA MIAKA 5 HUFARIKI NDANI YA SAA 100

 
Theluthi ya watoto chini ya miaka 5 hufa ndani ya saa 100 za uhai.
Huduma bora wakati wa kuzaliwa iliwekwa kipaumbele na Tanzania  ili kuokoa mama na vichanga 18,000, ifikapo Desemba 2014. 

Kila siku wanawake 21 na watoto wachanga 136 wa Tanzania wanapoteza maisha kipindi cha kujifungua.

No comments: