Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Friday, July 01, 2016

Mgodi waanzishwa kinyemela kando ya Barabara kuu

 WATU wasiojulikana, wameanzisha kijanja mgodi wa madini aina ya Chokaa katika Mlima Iwambi kati ya Jiji la Mbeya na Halmashauri ya wilaya ya Mbeya, Barabara kuu ya Tanzania na Zambia.

Mgodi ho kama unavyoonekana pichani, unachimbwa na watu wasiojulikana nyakati za usiku na kuondoka na malighafi bila kujulikana.

Imeelezwa kwamba, mwanzo watu hao walikuwa wakichimba na kuondoka na madini hayo kwa usafiri wa pikipiki na sasa inaonyesha kuwa anasafirisha na magari.

Mpaka sasa mtu/watu hao wanaendelea kuchimba madini hayo.

No comments: