Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Saturday, July 23, 2016

Mjini Dodoma leo yamesemwa haya

KAULI KALI ZA LEO DODOMA.

1. Ukitaka kuachana na Inzi tupa kibudu-Mpendazoe

2. Ng'ombe akikatwa mkia machungani hanyimwi kuingia zizini ila N'gombe wengine wote watajua mwenzetu hana mkia.-John Magufuli

3. Jakaya aliwabatiza kwa maji Magufuli atawabatiza kwa moto.-Yusuph Makamba

4. Ccm ni mti mkubwa kwa hiyo mnapotaka kutikisika muitaarifu na miti midogo isiumie-Cheyo

5. Wapinzani kuzira vikao vya bunge ni sawasawa na Wanawake-Mrema

6. Sina uhakika kama nina moyo wa uvumilivu kama wewe Jakaya- John Pombe Magufuli.

7. Toka kuwa waziri mkuu hadi kugombea uenyekiti wa wilaya ni kushuka kiwango - Jakaya.

8. Ada za Ccm zitakusanywa kwa kutumia EFD- Magufuli.

9. Jakaya hakukifanya chama kuwa cha mafisadi hata akamshugulikia Rafiki yake Lowassa-Makamba

No comments: