Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Friday, July 01, 2016

Mke wa Rais, Janeth Magufuli amkaribisha mgeni wake mke wa Rais wa Rwanda Mama Janeth Kagame ofisini kwake leo

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli (kulia) akiagana na mgeni wake Mke wa Rais wa Rwanda Bi. Janeth Kagame (kushoto) mara baada ya Mama Kagame kutembelea ofisi za Mama Magufuli ikiwa ni sehemu ya ziara ya kikazi ya Rais wa Rwanda Paul Kagame mapema
hii leo jijini Dar es Salaam.Picha na Benjamin Sawe - MaelezoNo comments: