Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Monday, July 04, 2016

Wakuu wa Wilaya za Jiji la Dar es Salaam waapishwa leo
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akisalimiana na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Simon Sirro, wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Karimjee kulikofanyika hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Wapya wa Wilaya za Jiji la Dar es salaam leo Julai 4, 2016. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI - MMG
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Ramadhan Madabida, wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Karimjee kulikofanyika hafla ya kuapishwa kwa Wakuu wa Wapya wa Wilaya za Jiji la Dar es salaam leo Julai 4, 2016.
 Sehemu ya Wakuu wa Ulinzi na Usalama wa Jiji la Dar es salaam wakiwa kwenye hafla hiyo.

 Sehemu ya Wageni mbalimbali waliohudhulia hafla hiyo.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akihutumia wananchi katika hafla ya  kuapishwa kwa Wakuu wa Wapya wa Wilaya za Jiji la Dar es salaam leo Julai 4, 2016.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam leo Julai 4, 2016.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akisaini hati ya kiapo cha Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema mara baada ya kumuapisha, katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam leo Julai 4, 2016.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akimkabidhi Katiba ya nchi na Ilani ya CCM Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema mara baada ya kumuapisha, katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam leo Julai 4, 2016.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa, katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam leo Julai 4, 2016.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akimkabidhi Katiba ya nchi na Ilani ya CCM, Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa mara baada ya kumuapisha, katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam leo Julai 4, 2016.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi, katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam leo Julai 4, 2016.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akisaini hati ya kiapo cha Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi mara baada ya kumuapisha, katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam leo Julai 4, 2016.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda (kulia) akimkabidhi Katiba ya nchi na Ilani ya CCM, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi mara baada ya kumuapisha, katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam leo Julai 4, 2016.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaviva, katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam leo Julai 4, 2016.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akisaini hati ya kiapo cha Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaviva mara baada ya kumuapisha, katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam leo Julai 4, 2016.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda (kulia) akimkabidhi Katiba ya nchi na Ilani ya CCM, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaviva mara baada ya kumuapisha, katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam leo Julai 4, 2016.
 Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Momba akiwa pamoja na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Simon Sirro.

 Wakuu wapya wa Wilaya wa Jiji la Dar es salaam, toka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaviva. Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Humphrey Polepole hakuweza kuhudhulia hafla hiyo kutokana na kupatwa na dharula. hivyo ataapishwa pindi atakapomaliza dharula yake.
 Mapitio kigo katika hati ya Kiapo.

No comments: