Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Friday, August 26, 2016

AKINAMAMA WA TANZANIA WANAVYOPOTEZA MAISHA KUTOKANA NA UZAZI


VIFO vingi vya akinamama vitokanavyo va uzazi hutokana na sababu za moja kwa moja za ujauzito.

Sababu hizi hutokea wakati wa kujifungua na baada ya kujifungua. Kupoteza damu na shida za shinikizo la damu huchangia kwa asilimia 50 ya vifo vyote vya akinamama.

Vifo hivi vinaweza kupunguzwa kwa kuzuia mimba zisizotakiwa kupitia huduma za uhakika za uzazi wa mpango, kuhakikisha kuwa kuna uwiano mkubwa wa huduma za dharura za wajawazito na upatikanaji wa wakunga wenye ujuzi wakati wa kujifungua.

Uzazi wa mpango ni njia muafaka na uhakika ya kuzuia vifo hivi, ulemavu pamoja na kumuwezesha mwanamke.

No comments: