Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Monday, August 29, 2016

BREAKING NEWS. RADIO 5 ARUSHA NA MAGIC FM WAFUNGIWA KWA UCHOCHEZI

Taarifa zilizotufikia zimeeleza kuwa, Serikali kupitia Waziri mwenye dhamana ya habari, utamaduni, Sana'a na michezo Nape Nnauye, imevifunga vituo hivyo vya radio kutokana na kutangaza habari za uchochezi.

No comments: