Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Wednesday, August 24, 2016

JESHI LA POLISI TANZANIA LAPIGA MARUFUKU MIKUTANO YA NDANI

Jeshi la Polisi nchini Tanzania, limepiga marufuku mikutano yote ya ndani ya vyama vya siasa baada ya kubaini kuwa mikutano hiyo inatumika kuchochea vurugu nchini na kuhamasisha wafuasi wa vyama vya siasa namna ya kupambana na askari wa jeshi hilo.

No comments: