Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Friday, August 26, 2016

MSANII IRENE UWOYA AIBUKA KUMSAKA NDIKUMANA


Image result for irene uwoya 2016
HABARI za mjini zinasambaa kama moto wa nyikani na kueleza kuwa msanii Irene Uwoya ameweka wazi kwamba, kwa kuwa hapendi kuchanganya baba wa watoto wake, sasa ni wakati muafaka wa kumtafuta mumewe, Hamad Ndikumana ili watafute mtoto wa pili.

Kwamba kwa sasa mwanaye Krish ameshakuwa mkubwa hivyo anahitaji mdogo wake ndiyo maana anatafuta njia ya kukutana na Ndikumana ili hilo litimie. “Krish ameshakuwa mkubwa na si unajua mimi sitaki kuchanganya baba kwa watoto wangu hivyo hapa najipanga kumsaka Ndiku tuongeze mtoto wa pili biashara ya kuzaa ikomee hapo,” alisema Uwoya.

No comments: