Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Tuesday, August 09, 2016

TANZANIA. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atoa maamuzi magumu Mbeya

Walafi wa Jiji la Mbeya mwisho wao umefika. Pesa za soko la Mwanjelwa sasa kuwatokea puani.

Blog hii tuliwahi kuandika jinsi mradi huo ulivyoliwa na udhaifu wake lakini uongozi wa Jiji ukapuuza na kuamua kukanusha kwa fedha nyingi kwa kuwalipa waandishi wa habari posho kwa kushirikiana na mkandarasi.

Leo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameamuru zaidi ya Milioni 350 zilizoliwa zirejeshwe haraka. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla kusimamia maamuzi hayo.

Kuna Siku watu wa nyikani watatuelewa tu hata kama ni pole pole.

No comments: