Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Sunday, August 14, 2016

TANZIA. MZEE JUMBE AFARIKI DUNIA

Aliyewahi kuwa Rais wa Zanzibar (1972-1984), mzee Aboud Kumbe Mwinyi amefariki dunia leo.

Taarifa zinadai kuwa alikuwa anaumwa muda mrefu. Amefia huko kwake Kigamboni. Taarifa za mazishi kama zitakuwa huko Kigamboni ama Zanzibar tutawajulisha.

Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli ametuma salami za rambi Rambo kwa Rais wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Mohammed Shein.

No comments: