Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Friday, August 26, 2016

WATOTO WA TANZANIA HUFA KABLA YA KULA SIKIKUU YA MWAKA WA TANO


BAADA ya mwezi wa kwanza wa maisha, takribani nusu ya watoto hupoteza maisha kutokana na nimonia, kuharisha na Malaria.

Aidha, ni vema kutambua kuwa utapiamlo unaongeza uwezekano wa watoto kufariki kutokana na maambukizi.

Kiwango cha watoto walio chini ya miaka mitano wenye utapiamlo udumavu ni kikubwa kufikia asilimia 41(2010), na hali hii haijabadilika tangu mwaka 1991. Hivyo zaidi ya kuweka mkazo katika huduma za mtoto mchanga.

Tanzania inatakiwa kushughulikia changamoto za watoto ikiwa ni pamoja na kuimarisha programu za chakula bora, kukinga na kuboresha tiba za nimonia, kuharisha na malaria na kuendeleza mwelekeo wa kupunguza na kufikia kutokomeza kabisa maabukizi ya VVU kwa watoto.

No comments: