Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Wednesday, August 03, 2016

Waziri wa Kilimo Dkt. Chalres Tizeba asikitishwa na watafiti Uyole

* Asema watafiti wanavuna mazao kidogo kwa hekali moja kuliko wakulima wa kawaida.
*Asema inasikitisha Maafisa ugani kutofukuzwa kazi wakati mahala pengi hawafanyi kazi. Awataka Wenyeviti wa mabadara ya madiwani walione hilo.
*Aeleza kuwa Serikali inaanza na viwanda vinavyotumi malighafi zitokanazo na kilimo.
* Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla aeleza nia ya kuyafanya maonyesho ya Nane Nane kanda kuwa maonyesho ya SADC, Waziri aridhia mwaka 2017 kufanyika kitaifa Mbeya.


Mhariri Mkuu wa www.mpakani.blogspot.com (kulia), akihojiana na baadhi ya wataalam wa masuala ya usindikaji wa vyakula katika banda ya Manispaa ya Iringa ndani ya viwanja vya maonyesho ya wakulima vya Mwakangale Jijini Mbeya juzi.

No comments: