Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Saturday, September 10, 2016

BREAKING NEWS; TETEMEKO LA ARDHI BUKOBA

TETEMEKO la Ardhi limeripotiwa kutikisa mikoa ya kanda ya Ziwa Alasiri ya leo na kupelekea madhara ya Nyumba kubomoka.

Afisa mmoja kutoka Mjini Bukoba mkoani Kagera nchini Tanzania, ameiambia MPAKANI BLOG kuwa hali hiyo imeleta taflani kwa wananchi na kwamba mpaka sasa wamepata kuwa kuna taarifa za kifo lakini hawajapata taarifa sahihi za kifo bali baadhi ya taarifa za nyumba zilizobomoka wamezipata na wanaendelea kuzifanyia kazi.

No comments: