Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Monday, September 05, 2016

Kuelekea kuandika habari bora za uchunguzi kuhusu Viwanda Tanzania

Kutoka kulia ni Afisa wa TMF dada Joyce, ndugu Danstan Kamanzi, Gordon Kalulunga na Edwin Soko.
 Hapo ni Mhariri wa www.mpakani.com ndugu Gordon Kalulunga wakiwa katika viwanja vya Chuo cha uandishi wa habari cha HABARI MAALUM COLLEGE nje kidogo ya Jiji la Arusha.
 Hawa ni maafisa wa TMF ndugu George Mwita na dada Joyce.
 Baada ya kutoa taarifa za tafiti za viwanda nchini, ndipo tukapiga picha ya pamoja kati ya Gordon Kalulunga, Dionis Moyo na Edwin Soko katika viwanja vya chuo cha Habari Maalum College hapa Arusha nchini Tanzania.


WADHAMINI WA BLOG HII NI STEMAN ENTERPRISESNo comments: