Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Monday, September 05, 2016

Maji ni muhimu kufikia hitaji la Viwanda Tanzania

 Mhariri Mkuu wa www.mpakani.com ndugu Gordon Kalulunga akikinga maji ya bomba kwa mkono wake akielezea umuhimu wa maji safi Mijini na Vijijini.
Kijana ambaye hakufahamika jina lake akiwa ananawa miguu yake katika maji ya bwawa eneo la Lewa Kibaoni wilaya ya Muheza mkoani Tanga, wakati Mwandishi Gordon Kalulunga alipofika katika eneo hilo kwa ajili ya masuala ya kutafiti na kuandika habari za Viwanda katika eneo zinakozalishwa malighafi nchini Tanzania.

Eneo hilo linalimwa matunda hasa Machungwa ambayo kwa sasa yanasafirihwa kuelekea Nairobi nchini Kenya na Dar es Salaam nchini Tanzania.

 WADHAMINI WA BLOG HII NI STEMAN ENTERPRISESNo comments: