Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Sunday, September 18, 2016

MBEYA; UWANJA WA SOKOINE JANA, HALI YA CHOONI SI SHWARI

 UGA wa Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya jana, zilipokutana timu ya Mbeya City na Tanzania Prison zote za Jijini Mbeya katika Ligi kuu ya Tanzania. Mpaka dakika 90 zinakwisha, hakuna timu ambayo iliweza kupasua mbarika ya nyavu zilizokuwa zimesukwa katika milingoti ya magoli ya uwanja huo.
 Licha ya wamiliki wa uwanja huo kutengeneza vema vyoo vya uwanja huo, baadhi ya mashabiki wa soko katika uwanja huo walionekana kupingana na ustaarabu wa kitanzania ambapo waliendelea kujisaidia juu ya kinyesi ambacho pamoja na makaratasi vimeziba tundu la choo hiki huku povu la mkojo likiendelea kujisambaza ndani ya chumba cha choo hicho.
Huu ndiyo mwonekano wa nje wa Choo hicho katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya.

No comments: