Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Tuesday, September 06, 2016

Msaada unahitajikaEdina Simbili, ni mkazi wa Kijiji cha Kalungu kata ya Ivuna wilaya ya Momba mkoa wa Songwe.

Ni mwitaji wa kiti cha kutembelea (wheel chair) ili iweze kumsaidia kutokana na ulemavu wa viungo vyake vya mwili kama anavyoonekana pichani.

Kwa sasa anatembea kwa kujiburuza na hali ya huku ni mchanga na jua kali nyakati za mchana.

Binti huyu amekutwa na Shirika lisilo la kiserikali la Tanzania Community Media Organization (TACOMO).

Kwa wasamalia wema, tunaomba tuungane kumsaidia binti huyu.

Mawasiliano ya mchango na mawazo ni;-

SIMU; 0754 440 749 au 0753 705646
EMAIL;- tacomotz@gmail.com.com
AKAUNTI YA BENKI NI NMB
JINA;- Tanzania Community media Org
ACC;- 62510007257
TAWI;- Usongwe.

No comments: