Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Friday, September 30, 2016

RC Makalla afungua maonesho ya wajasiriamali kwa niaba ya Waziri wa Viwanda

 Mwakilishi wa Waziri wa Viwanda na Uwekezaji Charles Mwijage, ndugu Amos Makalla ambaye ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya, akikagua bidhaa za Wajasiriamali wa kanda ya Nyanda za juu kusini leo, katika maonesho ya wajasiriamali lililoandaliwa na Shirika la viwanda vidogo (SIDO), ambapo maonesho hayo yanaendelea katika viwanja vya bustani ya Jiji la Mbeya mkabala na uwanja wa Sokoine.
 Mjasiriamali wa bidhaa za usindikaji kutoka wilaya ya Mbeya Vijijini mkoani Mbeya, Sarah Kalinga akiwa katika banda lake katika viwanja vya Bustani ya Jiji la Mbeya leo wakati wa uzinduzi wa maonesho hayo uliofanywa Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Gabriel Makalla kwa niaba ya Waziri wa Viwanda, biashara na uwekezaji Charles Mwijage.
 Bidhaa za wajasiriamali zikiwa kwenye mabanda yao.
 Mwamko mdogo na kuchelewesha kuanza kuyatangaza matangazo ya maonesho hayo, yamepelekea wananchi kutojitokeza vya kutosha katika maonesho hayo. Hapo SIDO wanapaswa kuwajibika.No comments: