Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Sunday, September 25, 2016

SHINYANGA; Yanga wakwama stendi

Timu ya Yanga imeshindwa kutamba leo mjini Shinyanga baada ya kutandikwa bao moja na timu ya Stand United.

Baada ya dakika tano za nyongeza, wachezaji wa Yanga walionekana kufufuka, lakini mpaka mwisho wa mchezo ikawa sikio la kifo limeshindwa kusikia dua za wachezaji, makocha na hata mashabiki wa timu hiyo.

Wiki ijayo Yanga inatarajia kumenyana na timu waasimu wao Simba Sports Club jijini Dar es Salaam.

Wakati huo huo, mechi ya kuchangia wahanga wa tetemeko la Ardhi lililotokea hivi karibuni mjini Bukoba mkoani Kagera, imemalizika kwa timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga kuibuka washindi kwa mikwaju 5-1.

No comments: