Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Monday, October 10, 2016

NAFASI YA KIDATO CHA KWANZA MAGHABE HIGH SCHOOL MBEYA

SHULE ya sekondari Maghabe iliyopo Mbalizi mkoani Mbeya nchini Tanzania, imeanza kutoa fomu za kujiunga kidato cha kwanza mwaka wa masomo 2016/2017.
 
Maghabe Sekondari ni shule ya BWENI tu kwa wavulana na wasichana na ina mazingira mazuri ya kujifunzia na ina walimu wazoefu.

Shule hii ni moja kati ya shule Kumi bora mkoani Mbeya na inafanya vizuri kwenye mitihani ya kitaifa, mfano matokeo ya mtihani wa kidato cha Nne 2015/2016 wanafunzi wote darasa zima walifaulu na wote walichaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa ufaulu wa daraja la Kwanza, daraja la Pili na daraja la Tatu, HAKUNA aliyepata daraja la Nne wala sifuri.

Nafasi za kuhamia kidato cha kwanza na cha Tatu kwa wanafunzi wanaotaka kuhamia zipo.

Pia shule ina nafasi za kidato cha Tano na kidato cha sita kwa michepuo ya HGK, HGL na HKL.

Fomu zinapatikana katika maeneo yafuatayo;

1. Shuleni Maghabe Utengule Mbalizi Mbeya.

2. Soweto dukani kwa Mgalla.

3. Nelly Stationary Sido.

4. Njombe Simu Na. 0767 106 774

5. Songea simu Na. 0754 575 811

6. Sumbawanga Simu Na. 0766 899840

7. Iringa simu Na. 0754 660 198

8. Mbarali Mbeya simu Na. 0764 038 843

9. Dar es Salaam - Msimbazi Center Chumba Na. 9 simu Na. 0714 880 003 
 
Mtihani wa usaili (Interview) utafanyika tarehe 15/10/2016 Saa mbili asubuhi shuleni Maghabe.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba zifuatazo.

1. 0754 893 508

2. 0764 775 610

3. 0788 245 325

4. 0655 893508

MAGHABE; "Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa"

No comments: