Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Friday, October 14, 2016

Namkumbuka Mwalimu Nyerere

 GORDON KALULUNGA, LEO (2013) NIMEJAALIWA KUFIKA KATIKA MAKUMBUSHO YA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE NA KUPATA HISTORI YAKE NA KWAMBA JINA LAKE HALISI ALIITWA KAMBARAGE LAKINI BAADA YA KUBATIZWA AKACHAGUA JINA LA JULIUS. HAPA NI SANAMU YA MAHALA ALIPOZALIWA MWALIMU.
 NJE YA JENGO LA MAKUMBUSHO YA TAIFA YALIYOPO MWITONGO CHINI YA WIZARA YA UTALII TANZANIA.
 HAPA NDIPO MWENGE WA UHURU UNAPOZIMWA KWA KUWASHA VITAMBAA KAMA ISHARA YA KUMUENZI MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE.
 ''UNGO'' HUO UNAOONEKANA WA SETELAIT (TV) NDIYO ALIKUWA ANAUTUMIA MWALIMU KUANGALIA TV MIAKA YA 1974 LAKINI IKUMBUKWE KUWA ALIKUWA AKIKATAZA WANANCHI WENGINE KUWA NA TV........
 HII NI SEHEMU YA KUZIMIA AU KUWASHIA MWENGE, IPO JUU YA JIWE KUBWA NA UKIWA HAPO JUU KIJIJI CHA MWITONGO KINAONEKANA VIZURI...PANAFIKIKA KWA NGAZI NA MJI WA MWALIMU UMEZINGIRWA NA MAWE KKUTOKANA NA HISTORIA KUWA ENEO HILO MPAKA LIKAITWA MWITONGO MAANA YAKE NI ENEO AMBALO WATU WALIHAMA... NYUMBA ALIYOJENGEWA NA JESHI MAFUNDI WALIPEWA AMRI YA KUTOONDOA JIWE HATA MOJA......OOOHH NI HISTORIA NZURI SANA....
 HILI NDILO KABUR LA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE...
HAPA TUPO NA WENZANGU PEMBENI MWA KABURI LA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE...MUNGU ALITOA NA KUTWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.

No comments: