Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Saturday, November 26, 2016

NJOMBE; Usafiri wetu


Abiria wa basi la Japanese linalo fanya safari zake Mbeya Makete
kupitia barabara ya Ipelele wakisukuma basi hilo kulinasua baada ya kukwama kwenye mapote yanatokna na Mvua zilizoanza kunyesha hivi karibuni katika Kijiji cha Ilolo kata ya Bulongwa Wilaya ya Makete. (Picha na Kenneth Ngelesi)No comments: