Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Wednesday, December 14, 2016

ARSENAL, LEICEISTER CITY NA MACHOZI YA SAMAKI
KATIKA michezo miwili ya ligi kuu ya Uingereza iliyopigwa usiku wa tarehe 13 disemba kati ya Bournemouth vs Leicester City na ule wa Everton vs Arsenal.

Bournemouth vs Leicester umemalizika kwa Bournemouth kushinda kwa bao 1 - 0.  Bao limefungwa na Marc Pugh mnamo dakika ya 34 ya mchezo.
Everton vs Arsenal; umemalizika kwa Arsenal kufungwa kwa jumla ya bao 2 - 1. Goli la Arsenal limefungwa na Alex Sanchez dakika ya 20 ya mchezo.

Everton walisawazisha goli kupitia kwa Coleman mnamo dakika ya 44 ya kipindi cha kwanza. Goli la pili la Everton likawekwa nyavuni na A. Williams katika dakika ya 86. Dakika ya 93, Jagielka amepata kadi nyekundu baada ya kumvuta Lucas Perez.

No comments: