Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Wednesday, January 11, 2017

MBUNGE AFUNGWA KWA VURUGU

Taarifa zilizotufikia kutoka mkoani Morogoro zinasema Mbunge wa Kilombero kupitia tiketi ya Chadema Mh, Jua likali leo amehukumiwa kwenda jela miezi sita bila faini kwa kosa la kuwapiga polisi kipindi cha mwaka jana 2016 wakati wa kikao cha Baraza la madiwani cha uchaguzi wa mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.

No comments: