Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Sunday, February 19, 2017

BREAKING NEWS....DC MSTAAFU APIGWA RISASI

Taarifa kutoka Dar es Salaam nchini Tanzania zinatuarifu kuwa aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya ya Liwale Mwalimu Ephrahim Mbaga Mfingi, ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana.

Alikuwa mkuu wa wilaya hiyo kipindi cha utawala wa Rais wa awamu ya NNE Dkt. Jakaya Kikwete.

No comments: