Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Sunday, February 26, 2017

BREAKING NEWS....MWANARIADHA WA KENYA AFIA TANZANIA

Taarifa zilizotufikia hivi pinde kutoka Mkoani Kilimanjaro kaskazini kwa Tanzania zinaeleza kuwa mwanariadha mmoja kutoka nchini Kenya amefariki dunia akiwa katika mashindano ya mbio za kimataifa za Kiilimanjaro Half Marathon 21 KM.

Mwanariadha huyo amefariki asubuhi ya leo mjini Moshi alipokimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC kwa matibabu.

Tunaendelea kufuatilia na tutawajuza. Endelea kuwa nasi hapa hapa www.kalulunga.blogspot.com

No comments: