Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Wednesday, February 22, 2017

BREAKING NEWS....WAANDISHI KILIMANJARO WANASHIKILIWA NA POLISI

 TAARIFA zilizotufikia hivi punde kutoka mkoani Kilimanjaro Kaskazini mwa Tanzania, zinaeleza kwamba waandishi wa Habari wawili wamekamatwa na jeshi la polisi mkoani humo.


Waliokamatwa ni Rodrick Mushi wa Tanzania Daima na Gifti Mongi wa Gazeti la Majira na ZBC.

"Gift Mongi alikamatwa jana jioni na kuwekwa Mahabusu katika kituo cha Polisi Majengo huku Rodrick akikamatwa katika ofisi ya RPC akiwa na baadhi ya waandishi wenzake wakifuatilia kisa cha kukamatwa Gift" kimeeleza moja ya chanzo chetu.

Mwandishi mwingine ambaye amekamatwa kwa tuhuma zinazohusiana ni Joseph Ngilisho ambaye amekamatwa na yupo kituo cha Polisi cha Bomang'ombe wilaya ya Kilimanjaro.

Hata hivyo kikosi kazi cha Kalulunga Blog maarufu kama Quickly Response Unit (QRU), kinafuatilia taarifa hizo na kujua sababu.

Endelelea kutembelea blog hii kwa kubonya kila mara link ifuatayo

No comments: