Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Sunday, February 05, 2017

KAMANDA WA RED BRIGED YA CHADEMA AHAMIA CCM TUNDUMA MBEYA

Kijana Ally ambaye alikuwa kiongozi mkuu wa safu ya kikosi cha ulinzi wa Chadema wilayani Mbozi kwa sasa amehamia CCM.
Kijana Ally ambaye alikuwa kiongozi mkuu wa safu ya kikosi cha ulinzi wa Chadema wilayani MbozI, alipopigwa na wenzake ndani ya Chadema, madhira yote hayo na mengine yamemfanya ajiondoe ndani ya chama hicho na kujiunga na CCM huku mpasuko mkubwa ukiwa umekikumba chama hicho mkoani Songwe.

No comments: