Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Thursday, February 09, 2017

KYELA; WALALAMIKIA KUKOSA DAWA

Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu.

Na Veronica Chonde, Kyela

BAADHI ya wananchi wanaotumia vipande vya bima ya Afya kupata matibabu katika Hospitali ya wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, wamelalamikia kukosa dawa katika hospitali hiyo kila wanapoenda kutibiwa hali inayowalazimu kwenda kupata matibabu katika Hospitali ya wilaya ya Rungwe Kilomita 54 kutoka wilayani humo.

Malalamiko hayo waliyatoa mwanzoni mwa wiki katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa siasa mjini Kyela chini ya Mkuu wa Wilaya hiyo Claudia Kita.

No comments: