Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Monday, February 20, 2017

MBOWE AKAMATWA


Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, amekamatwa na Jeshi la Polisi huko Mikocheni jijini Dar es Salaam alikojificha baada ya kutakiwa kwenda Polisi kuhojiwa kwa ajili ya tuhuma za dawa za kulevya.

Taarifa zinasema kiongozi huyo amekamatwa katika moja ya majengo ambayo yanatumika kujificha akiwa kwenye gari namba T 830 DEW aina ya VX.

No comments: