Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Friday, February 17, 2017

MCHEZAJI WA YANGA AFARIKI DUNIA MBEYA


Taarifa zilizotufikia Mchezaji wa zamani wa team ya Taifa  na club ya yanga Bonny Ndanje aliyekuwa hospitali ya Makandana Tukuyu wilayani Rungwe mkoani Mbeya amefariki dunia.

No comments: