Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Monday, February 13, 2017

RC MAKALLA ALIAGIZA JIJI LA MBEYA KUKARABATI BARABARA YA RUANDA NA KUWEKA JIJI SAFI


* Wananchi wapongeza uamuzi wa Mkuu wa Mkoa kufika  eneo Lao kwani ni kero YA miaka 7.

* Vifusi  vyaanza kusombwa na ujenzi wa karavati kuanza kesho kutwa lengo ni kuwanusuru wananchi na Maji  ya mvua kuingia majumbani na pia kuwezesha bajaji, bodaboda na magari kutoa huduma.

* Akagua Barabara zinazojengwa na kuutaka uongozi wa jiji  kutokupokea Barabara zitakazojengwa chini YA kiwango.

* Atembelea maeneo Muhimu YA jiji kujionea utekelezaji wa maagizo yake ikiwemo kutofanya biashara na shughuli za kijamii kwenye HIFADHI YA Barabara, kuweka jiji safi ,  kutengeneza bustani za kupendezesha jijij,na kupunguza msongamano wa magari.

* Akabidhi vituo viwili  vya kuhamishika kwa ajili ya askari wa usalama barabarani.

- AWASHUKURU wananchi kwa kumuunga Mkono katika MIKAKATI YA kuliweka jiji la Mbeya safi

No comments: