Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Wednesday, February 22, 2017

WAANDISHI WALIOSHIKILIWA KILIMANJARO WAACHILIWA HURU

Waandishi wa habari waliokuwa wakishikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro wameachiliwa guru.

Mpaka sasa bado haijajulikaka mara moja kosa ambalo waliokuwa wanatuhumiwa nalo. Waandishi hao ni Roderick Mushi, Gift na Joseph Ngilisho

No comments: