Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Friday, March 24, 2017

BREAKING NEWS.....ALIYETOA SIRI YA KUSAKWA KWA MANGE KIMAMBI AKAMATWA


TAARIFA zilizotufikia zinasema kuwa aliyevujisha taarifa za serikali kumsaka Mtanzania Mange Kimambi anayeishi Marekani amekamatwa mkoani Mbeya.

Vyanzo vyetu vya habari vinasema kuwa mtuhumiwa huyo Mwanamke ni afisa wa Idara ya Uhamihaji mjini Kasumulu wilayani Kyela mkoani Mbeya nchini Tanzania.

Hata hivyo twaendelea kusaka habari zaidi mahali alipo na hatua zitakazochukuliwa dhidi yake.

Endelea kuwa nasi hapa www.kalulunga.blogspot.com

No comments: