Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Friday, March 24, 2017

CHOPPIES SUPERMARKET YATINGISHA DAR ES SALAAM KWA BIDHAA ZA BEI NAFUU

Supermarket Mpya ipo katika jengo la kituo kikuu cha daladala  cha Makumbusho jijini Dar es salaam nchini Tanzania ambako utapata  BIDHAA KIBAO kwa bei  poa kabisaaa kama vile Mikate, keki,  biscuit wanazopika wenyewe pamoja na vyakula vya kila aina vinapatikana hapo
Usipitwe...Fanya uwatembelee CHOPPIES ukajipatie vitu vingi kwa bei ya kiwandani na wapo wazi kuanzia saa 12:00 kamili asubuhi mpaka saa tatu usiku siku za Jumatatu mpaka Ijumaa.Siku za weekend wako wazi kuanzia saa 03:00 kamili asubuhi mpaka saa 3 usiku. KARIBUNI SANA!

No comments: