Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Wednesday, March 01, 2017

HOMA YA NGURUWE YATINGA MBEYA

Virusi vya homa ya Nguruwe vimeripotiwa kuua wanyama hao mkoani Mbeya huko kusini mwa Tanzania.

Wananchi watakiwa kuwa makini na ulaji wa Nyama zinazochinjwa majumbani.

Mganga mkuu wa mifugo jiji la Mbeya Dr. James Kawamala amethibitisha.

No comments: