Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Wednesday, March 22, 2017

MAMLAKA YA MAJI MBEYA YAKABIDHI VIFAA VYA USAFI META HOSPITAL

Katika kuazimisha siku ya Maji duniani leo, Mamlaka ya Maji safi na taka Mbeya wamefanya usafi wa mazingira katika Hospitali ya kanda ya Mbeya kitengo cha wazazi Meta na kukabidhi vifaa vya kufanyia usafi.

Ofisa mahusiano wa Mamlaka hiyo Neema Stanton amevitaja baadhi ya vifaa hivyo kuwa ni pamoja na fyekeo, majembe na glovu.


No comments: