Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Saturday, March 18, 2017

YANGA YATOKA SARE HUKO ZAMBIA. YAAGA MASHINDANO

Dakika 90 za mpambano wa klabu Bingwa Africa kati ya wenyeji Zanaco FC (Zambia) na Young Africans (Tanzania) zimemalizika katika Uwanja wa Mashujaa jijini Lusaka Zambia kwa timu hizo kutoka sare ya 0-0.

Kwa matokeo hayo Yanga SC wamesukumwa nje ya michuano hiyo mikubwa kabisa Barani Africa kwa ngazi ya Vilabu.

FT, Zanaco FC 0  Yanga SC 0

Aggregate 1-1

Zanaco  FC wanasonga mbele kwa faida ya goli la ugenini .

No comments: