Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Monday, May 08, 2017

Ajali zashika kasi Tanzania, baada ya Arusha, Tanga nako wanne wamefariki

Mkoani Tanga nchini Tanzania kumeripotiwa kutokea ajali ya gari aina ya Coaster yenye namba za usajili T. 673 baada ya kugonga gari nyingine nyuma yenye namba za usajili T 888 ALH NA TRAILLER LAKE T. 232 AND SCANIA na kusababisha vivo na majeruhi.

Ajali hiyo imetokea eneo la Lusanga wilayani Muheza barabara kuu ya Tanga-Segera ambako taarifa zinaonyesha kuwa watu wanne wamefariki dunia huku 12 wakijeruhiwa.

No comments: