Social Icons

ad3

ad3

ad2

ad2

ad1

ad1

Thursday, May 18, 2017

Breaking news...Mnyama Kiboko ajeruhi Mbarali Mbeya

Kiboko aonekana Ijumbi wilayani Mbarali mkoani Mbeya.

Ajeruhi mtu mmoja akimbizwa Hospitali.

Maliasili wametaarifiwa tangu saa Nne lakini mpaka muda huu saa Tisa kasoro dakika 12 alasiri hawajafika.

Hofu yatanda. Mwenyekiti wa kijiji hicho Mugabe Sumuni athibitisha na kumtaja aliyejeruhiwa kuwa anaitwa Damasi mkazi wa kijiji jirani kiitwacho Mahango.

Mnyama huyo mpaka sasa yupo katika mashamba ya Mpunga kijijini hapo.

Ajeruhi mwananchi mmoja. Akimbizwa Chimala hospital.

Mwenyekiti kijiji cha Ijumbi Mugabe Sumuni.

Mpaka sasa yupo katika mashamba ya mpung

Chanzo: Kalulunga Quickly Response Unit.

No comments: